PROTS CLASSROOM, PROTS Group & FaceBook.
Once in a while some hot topic comes up during class discussions and we wish we could share it with you.
Now that we have this blog facility it more easy to do just that.
We therefore dedicate this page to the long missed opportunity.
We will be publishing most of the hot topics that will come up during our class.
To share this with our students, graduates and the public in general we are using our PROTS Group in the Facebook facility. Most of the new generation find it easy to use Facebook than anything else and the response we are getting is just amazing and very encouraging.
Every Friday I will post a new topic that was hottest in class and you guys are invited to contribute your ideas.
Let the world know what you know!!
To have these valuable discussions in Facebook permanent, we will be publishing them here in our Blog in a more edited and well arranged way.
I therefore welcome you to contribute on Facebook and read all the discussions in our Blog.
Topic 3: "IMPRESSING THE FEMALES!"
- OLDER POSTS
Topic 2: KITANDA HAKIZAI HARAMY - Nest Parasitism by the Red-chested Cuckoo:
Vedasto Izoba
- Man Giraffe Joram I think yah!. Ndo maana FA Kasema Ukimegewa demu wako nawe tafuta mnyonge ummemgee.November 11 at 9:51am via mobile ·
- Vedasto Izoba Poa, lakini huku sio kumegewa tu. Kamuacha na mimba!!! Utafanyaje?November 11 at 11:40am ·
- Agness Mukasa Mh! Mwenzangu mm ninge mpeleka kanisani alafu nimwambie mchungaji kua huyu mtoto nimemkuta mlangoni na cna uwezo wakumlea!.November 11 at 11:52am via mobile ·
- Anthony Milinga Mimi nitamlea tuu mpaka akuwe mkubwa maana hawa watoto wa mishe mishe kama hivi wanakuaga vichwa sana, unaweza ukamtelekeza halafu baadae mungu akampa shavu akawa Rais wa USA kama Obama halafu wewndo ukajipendekeza muda huo kweli hato kuelewa kabisa so mambo mengine ni yakufikiria kabla yakutenda Nature ina nguvu za ajabu sana!!!!!November 11 at 12:21pm ·
- Gregory Venance red chested cuckoo is giving the robin chat a tough job kama alikuwa hayupo tayari kumlea huyo mtoto why alikubali kupewa mimba.and msala wa kulea anampa mtu mwingine......November 11 at 2:20pm · · 1
- Agness Mukasa Uyu red chested coocko ana rohongumu yani kama mwanamke anae beba mimba miezi9 na akijifungua anamuacha hosptor nayy anatoroka zake anakua ajui mwanae anaendeleaje tena au mnaonaje?November 12 at 11:54am via mobile ·
- Anthony Milinga Hiyo ni Nature Agness- binadamu hatuwezi laumu lolote hapo!! Na uzuri wa hao wao huwa wanafanya mapenzi wakati maalumu wa kipindi cha kuzaa tuu sio kama sisi mikasi mwanzo mwisho mimba zikitokea tunaanza kukimbizana na mapanga na kutupa watoto chooni.November 12 at 11:59am ·
- Agness Mukasa Kumbe alijua anacho kifanya kua atakua na mtoto? Kwann akujiwekea mbinu yaku2nza mwanae mpaka afikie umri wakujitegemea yani ye ameacha yai mpaka mtoto inamana atakutamia kaona kazi jamani kamuachia mwenzake atamie nakulea vp uyu?November 12 at 12:24pm via mobile ·
- Anthony Milinga Hiyo ndio strategy yake ya kuishi na iko kwenye damu na hatoweza acha!! mba kuna binadamu wanauza mii yao kupata kipato ili waishi hamuwalaumuuu?????November 12 at 12:31pm ·
- Vedasto Izoba Rec-chested Cuckoo ni mjaja mwanzo mwisho.... hamfanyii ndege yule yule kila mwaka. That way the host cannot evolve the counter-trick!! Jirani akimzalisha mkeo kila mwaka si utashtuka?!!!November 12 at 12:32pm ·
- Anthony Milinga Ha ha ha haaaa kweli huyo jirani lazima shoka la kichwa limuhusu kila mwaka azae na mke wangu mimi nitakuwa boya namna gani!! sasa akifanya hivyo ni bora amuoe kabisa na mimi nitafute chombo kipya!!November 12 at 12:34pm ·
- Angie Izoba am loving the comments agyy, anthony and izoba. kitanda hakizai haramu!!! am sure vitanda via wabongo havizai haramuu! bse mhhhh!! and a good thing DNA is not our thing!!!November 12 at 12:44pm ·
- Agness Mukasa Hiiii! Best wanaojiuza we uwashangai? Mwenzio mi nawashangaa coz naona wavvu na wajinga coz akilizao znakua zmedolola!@Antony.Asa mr. Izy uyo ye bdae hawawezi kuja kupeana mimba m2 nakakake au ata mama mana anakua ajui mwanae yukowap au ua anafatilia mtoto anaendeleaje mana mi ananichanganya uyu jamaa na mkewe kwa kuacha mtoto kwa mchina wakati ye msandawe?hahaha uyo jamaa anaezaa na mke wa mwenzake kila leo kiboko itabdi uyomwenyemke akajichunguze au mh!November 12 at 12:45pm via mobile ·
- Angie Izoba aggy ndo maana nimekwambia its a goodthing wabongo DNA test imetukalia mbalii!! ingekulajee!!!!???????November 12 at 12:47pm ·
- Agness Mukasa Bora c 2nao fanana na mababaze2 mana ndo DNA tosha ya wabongo sasa kama hufanani na babayako imekula kinyama!hahahaaa.November 12 at 12:56pm via mobile ·
- Vedasto Izoba Aggy, kweli ilo nalo neno.... Incest inaepukikeje! Tangu yai mama Cuckoo hamjui mtoto na mtoto hanjui mama, kaka wala dada zake.... NO NATURAL MECHANISM IS PERFECT!!! Kama huo uwezekano upo basi ni kwa kiasi kidogo ambacho hakiwezi athiri population. Au...mnasemaje maECOLOGISTS...?November 12 at 1:00pm · · 1
- Anthony Milinga Unaweza ukawa unafanana na dingi usoni tuu lakini kumbe kuna jamaa mmoja yeye alikuwa anajazia masikio na miguu kipindi mama ni mjamzito so hapo ajuae ni mama tuuu hakuna ujanja!! Lol!!!November 12 at 1:00pm ·
- Vedasto Izoba DNA ndo sitakagi kusikia. Anthony... acha imani za kienyeji!! Hakunaga kuchangia sikio wala mguu...! Sperm ikishatinga yai linafunga moja kwa zote! Usije ukadanganywa!!November 12 at 1:01pm ·
- Anthony Milinga Uko sawa Izoba hapo ! lakini kwanini hupendi DNA?? huyo ndo msema kweli!! Ninavyo fikiria mimi!!November 12 at 1:04pm ·
- Vedasto Izoba Halafu wazee, don't forget the Nest Parasitism is Evolutionary!!! Tangu enzi wanafanya huo mchezo. mtoto atafuata nyayo tuuuu.November 12 at 1:05pm ·
- Agness Mukasa Mwambie uyo jamaa bwana naona anachanganya madawa! Yani akichangia pua jua kabda ajagusa mlango wa uzazi mama alivyo anaifrash fasta utazani topi vle huhuuu! We antony unajua mbegu ikisha ingia2 kwenyekizaz lazma kifunge! Hunadem nini aweanakuonyesha na kkfundisha?November 12 at 1:16pm via mobile ·
- Agness Mukasa Kivp? Ww ukiona ufanani na mtoto wako atavdole bora uwe robin chat kwa mda.November 12 at 1:21pm via mobile ·
- Angie Izoba Hahahahahahah, yaani watu wanaogopa DNA! Kweli aggy bora tulofanana NA baba zetu!!!!!!! We Gregory mkeo akikwambia we ndo baba mtoto utakataa???November 12 at 1:34pm ·
- Gregory Venance ita depend mtoto atakuwa na appearance gani nikiona hatufanani hata pua....i must go for a dnaNovember 12 at 1:38pm ·
- Angie Izoba Gregory unasema tuu wewe, subiri ikukute! Halafu utampendaje huyo mtoto kila mahali utaenda name nankusema ni wako! Ukweli unabaki pale pale ajue baba wa mtoto ni mama!, hujui wangapi wanatunza watoto sa wenzao!November 12 at 1:43pm ·
- Tusmina Shuma jaman mbona hayo yapo.kuna jamaa mmoja anawatoto wa4 ila watoto wa 3 niwajiran,na haja stuka had w2 wamemstua ila hapo haijatumika dna wala nini baada ya vkao wawil hao walikir mke alisema cna uhakika ila akisema ni wake nampa,mume mwaz alisema nikipewa napokea.yan mtoto wa 1 cwake wa2 wake na hao wa2 tena wajiran.so wam2 ni wam2 tu.oneday yes.November 12 at 3:49pm via mobile ·
- Tusmina Shuma nyingine ilitokea norway wamama wamebadilishiwa watoto hospital bila wao kufaham ikawa hv cku zinavyozid kwenda kat ya baba 1 akawa anamsumbua anamwambia mkewe huyu mtoto cwangu mke anaamwambia mtoto ni wangu hd ikaenda miaka 12 mmama anagomba na mume ikabid mwanamke afanye mipango akaenda had kule hospital nakuwaeleza manec ikabid akachek detl cku hyo wa2 waliojifungua ndo wakapima nakukuta watoto walibadilishana kwa bahat mbaya.ndo kila m1 akàchua mwanae.ndo maana nasema chamtu ni chamtu 2.
- Daniel Nyamoga Nest Parasitism is a very common trait done by several Cuckoo species if not all of them.Different Cuckoo species parasite different birds like the Red Chested Cuckoo which has specialized on parasiting the Robin Chat.May be this is just a technique to try to avoid some Parental duties as perhaps a trick of not using even a little energy highly needed for some other performances in the natural world.This can be Mating because their number is very small,escaping from their predators or searching for their food.The timing is always precise hence everything has be perfectly done otherwise the whole exercise will be of a very poor results.The chance for their chicks to be successfully raised is super high and this is from the fact that they are far bigger that the chicks of the host.Then that is to say they monopolize almost everything from the poor mother which is food,love and affection.If that is how it is in the natural world then we have nothing to blame it.What I am trying to say here is that" It is may be very natural not to raise the family but what is very important is to pass the genes"as a man you can impregnate a woman and run away.Sio mimi jamani ni ecology hiyo!See you next time.Enjoy the comment!!!!November 12 at 4:32pm · · 2
- Vedasto Izoba Dan, that's a great lot of details. Whydahs also are known to do this kind of Nest Parasitism. It seems to be a good thing to evolve.November 12 at 7:28pm · · 2
- Edgar Bonaventura mmmmh?it's so hard 2 live with a kid ambaye si wako as human being but for the birds it's evolutionary so what cuckoo does it's right may be it seems to modify it evolutionary......?????November 13 at 1:56pm ·
- Roy David Gonsalves It's all about the survival of their species.their next generation.this is evolutionary,as ecologists we need to put the human perspective away.these are the wonders of nature!.at 2days old the cuckoo chick knows it has to stay alone in the host nest,that's instinct buddies!.November 13 at 5:38pm via mobile ·
- Roy David Gonsalves It's all about the survival of their species.their next generation.this is evolutionary,as ecologists we need to put the human perspective away.these are the wonders of nature!.at 2days old the cuckoo chick knows it has to stay alone in the host nest,that's instinct buddies!.November 13 at 5:39pm via mobile ·
- Roy David Gonsalves It's all about the survival of their species.their next generation.this is evolutionary,as ecologists we need to put the human perspective away.these are the wonders of nature!.at 2days old the cuckoo chick knows it has to stay alone in the host nest,that's instinct buddies!.November 13 at 5:40pm via mobile ·
- Vedasto Izoba Roy, True it is amazing how organisms will do anything-anything to reproduce! If people could learn from them....!! The Red-chested Cuckoo mother is happy knowing the egg will hatch sooner than those of the host and her chick will demand more food, grow faster and get free!!!November 13 at 9:37pm · · 1
- Moses Mhina mi nathan tusipende kuchunguza sana kwan mwanzo wa matatizo yote ni kutaka kujua,ijapokuwa nikweli kuwa udadisi ni mzuri ila tukitaka kuona ubaya wa m2 mguse eneo lake.November 14 at 4:14pm · · 1
- Moses Mhina Bado kwa upande wangu naikubali nature kwani inajaribu kubalance mambo.Cjui ni kwanini tushangaa sana kuona wengine kifanya jambo fulan ila jiulize inapokuwa ni wewe au mimi inakuwaje?Ukweli ni kuwa hatuwezi kukubaliana na nature kwa kudhan tunaelewa sana,kitu ambacho c kweli.Haya mabo ni magumu mno tukubali au tukatae.Hivyo basi yapo haya ktk jamii zetu.SHIDA BINADAMU ni MJUAJI Kupita kiasi.November 14 at 4:25pm ·
- Shedrack Sanga It's really the wonders of nature!most species are parasitic in their breeding habits,laying up their eggs in the nest of foster parents for a just an evolution manner,i come across to learn about the metalic green Didric Cuckoo is parasitic upon where weaver colonies exist.I wonder all about this men!!Wednesday at 12:08pm ·
- Daniel Nyamoga This is not only for the female creatures even male creatures sometimes suffer the same problem.There is a certain Jacana species that actually does the same.The African Jacana or you call it Lily trotter because it can walk on the lilies enabled by having very long toes, but I like to call it a Jesus bird do you know why?because it can walk on the water surface.In this particular species females do not cooperate in raising the chicks they simply lay eggs and quit then males have to look after the eggs and later on the chicks.It is believed that the number the females in their population is very small then laying the eggs,Looking after them and raising the chicks will just "eat"their time and may be other males will not have any chance to pass their genes which is very important in maintaining their species firmness or perhaps enjoying "the romantic pleasure"(as we all know).I like to call this life style "Bushoke's way of living"Hapa tutasemaje na wanaume nao wajifunze kutupa watoto chooni?See you next time!!!!Wednesday at 6:28pm ·
Topic 1: Flamingo Design & Architecture:
- You and Hillary Kombe like this.
- Amani El-maamry Ha ha haaaaa! Shingo ilianza kurefuka kwasababu ya kutafut chakula wakati akiwa bado kwenye kiota... sasa sijui nieleze kwa kiswahili au english/frache?November 7 at 2:01pm ·
- Agness Mukasa Vyote vlikua vnarefuka kwa pa1 kulingana na mahitaji yake.November 7 at 2:03pm via mobile ·
- Amani El-maamry Nisawa lakini kwanza ilianza shingo kwasababu ya msosi miguu ilifuatia baada ya kutoka kwenye kiotana kuanza kula algaeNovember 7 at 2:06pm ·
- Vedasto Izoba Amaniiii!! Who told you, Flamingo anukula kuanzia kwenye kiota???? Au umesahau anakula nini???November 7 at 2:12pm ·
- Vedasto Izoba Aggie, si utwambie mahitaji gani? Mbona wachoyo?? au ni "Flamingo - Long neck, snake pyuuu!"November 7 at 2:13pm · · 1
- Amani El-maamry ila tich unatugonga maswali magumu bwana siujanuwa kitambo toka tutoke class. I la nikija Arusha lazima nikupeleke VIA VIANovember 7 at 3:01pm ·
- Vedasto Izoba Malizeni haraka, nifunge hii mada. WE have more hot topics coming!!November 7 at 7:03pm ·
- Gregory Venance I think miguu ilirefuka kwanza and then aka develop shingo ndefu ili aweze kujipatia chakula kwa sababu tungesema shingo ndio ilianza kurefuka ingemlemea...?November 7 at 7:55pm ·
- Agness Mukasa Mh! Asa wakati uo miguu inarefuka alikua anafikiaje chakula chake au alikua anapga magot? Na ucsahau chakula chake kipo ndani ya maji best.!!!November 7 at 8:16pm via mobile ·
- Gregory Venance kwa hiyo wewe una support shingo ndio ilirefuka kwanza..angewezaje kujipatia chakula kwenye maji bila kuwa na miguu mirefu si angezama...?November 7 at 8:22pm ·
- Agness Mukasa Mi cjasapot shingo apo jamani mbona umeni2ngia? Kwaiyo we umeona mwenzio kasema shingo ukaona umalizie miguu?hahahaaa!.mi naona alikua anajipatia chakula chake kwa kulefusha vyote miguu na shingo mana vyote vnaitajika kwa wakati.November 7 at 8:35pm via mobile ·
- Vedasto Izoba I think Agness is more right. We have never been Flamingo before, but we can guess. If it developed long legs then it was because of wading in shallow waters, then it had to do some more modification to develop a long neck in order to reach the food made remote by the legs. Of course we are talking in Evolutionary times where things go together. What do you think guys? Try to use the Giraffe as a finished product and discuss its case. Thanks Aggnes, Angel, Greg Amani, etc. Keep on!!November 7 at 9:09pm ·
- Denis Musheshe Hebu jaman tazama jamani Mungu alivyomuumba ndege huyu!!ndege huyu kila alichoumbwa nacho kina matumizi muhimu katikamaisha yake na matumizi yake yanendana na alivyo (Body form and behaviour).Ndege huyu anashangaza saana hasa kwenye muundo wake wa kujipatia chakula,chakula chake anachokula,mazingira anpokitoa,Utaratibu wake wa kujikinga na adui pamoja na watoto wake,mipangilo yake katika uzaaji na mengine mengi.Angekuwa binadamu tungesema ebu angalia domo hilo!lakini kwake yeye hilo domo lina advantage kuubwa katika maisha yake.Miguu yake mirefu haijakuwepo kwa bahati mbaya,tunaweza kusema huyu ndege (flamingo)katika kumuelezea its take a long time ila tuseme kifupi that is moverus actecture.November 8 at 8:32am ·
- Amani El-maamry So wakati anarefuka vyote miguu na shingo pia ilikuwa inarefuka tena imerefuka kabla ya miguu kuwa mirefu na alipo anza kujitafutia chakula chake kutokana na mazingira yake anayo ishi ilimlazimu miguu kurefuka baada ya shingo kuzidi CM chache maana shingo imewahi kidogo ndipo miguu nayo ikafwataNovember 8 at 12:06pm ·
- Eric Izoba There are 6 species of flamingoes in the world:
- The Andean Flamingo (Phoenicoparrus andinus): approx. 100 000 individuals
- The James Flamingo (Phoenicoparrus jamesi): approx. 50 000 individuals
- The Chilean Flamingo (Phoenicopterus chilensi): approx. 500 000 individuals
- The Caribbean Flamingo (Phoenicopterus rubber): approx. 90 000 individuals
- The Greater Flamingo (Phoenicopterus roseus) – subspecies of the Caribbean Flamingo: between 500 000 and 800 000 individuals.
- The Lesser Flamingo (Phoenconaias minor): approx. 3 000 000 individuals.
At first glance, they may look similar to each other, but certain features such as size, leg colour or beak allow easy identification.November 8 at 12:15pm · - Agness Mukasa Asa Eric mbona kama cjakuelewa au ndo makuchanja mbuga ayo? Hee! Mana kilichoulizwa kingine naona umeingia kwenye species baba ninitena? Au cjaelewa vzuri embu nieleweshe maana yako?November 8 at 12:26pm via mobile ·
- Vedasto Izoba Mwambie, huyo!!! Species za nini wakati aliyepo mbele yetu ni Lesser Flamingo! Nafikiri Erick anachanja mbuga na tukimwachia ataanza ku-flow Scientific Names zao!!!! We want to learn about the lifestyle of this bird in-front of us!November 8 at 7:42pm · · 1
- Angie Izoba guys eric is just trying to show off, mjue he knows how to google!! flamingo hugo hapo to a maelezo anaanza story mob!! amend dar kidogo too and the damage is done already good Ggggoood erick!!November 8 at 8:55pm ·
- Gregory Venance naona tumepataa a new teacher...6 species of flamingo hebu tuambie wanapatikana wapi.....?November 8 at 9:08pm ·
- Vedasto Izoba I'm planing to close this topic in a couple of days. Please send your commentaries ASAP!November 9 at 7:18am ·
- Vedasto Izoba The next topic will be KITANDA HAKIZAI HARAMU about Nest Parasitism of the Red-Chested Cuckoo!! Standby for great stuff, guys! This Friday!November 9 at 7:20am ·
- Anthony Milinga Kazi ya Nature haina makosa! Upatikanaji wa chakuwa wa huyu ndege pamoja na chakula chake kilinavyo patikana kwa kuvizia basi kimefanya evolution impitie iliaweze kupambana na misuko suko ya maisha haya!! Safi sanaaaaa Izoba unanikumbusha enzi zetu Darasani ilikuwa ni nomaaaaaaaaaa.November 11 at 12:29pm ·
- Daniel Nyamoga There are six species of Flamingos in the World,just to mention them are;Greater and Lesser flamingos found in some parts of Africa,S.Europe and S.W Asia.James's and Andean found in High Andes in Peru,Chile,Bolivia and Argentina.Chilean flamingos found in S.America and the very last species is American flamingo found in Caribbean and Galapagos Islands.My focus is on the two species which are found in E.Africa.Lesser flamingos are herbivores feeding mainly on Blue Green Algae though if this is not in abundance then Diatoms can be part of their diet.Lesser flamingos look very pink and it is believed they gain that color from their food.What makes them very special is how unique their filtering mechanism when feeding.They use their tongues as pumping shafts,when moving them back water sucked in with the food,and when pushing them forward it gets pumped out with the algae caught in the tiny hairs located on sides of the mandibles and the third stroke takes the food and sucks more water in.Surprisingly,they make seventeen strokes per minute may be too fast for a Jet engine piston.November 12 at 3:38pm ·
- Daniel Nyamoga Next time guys nitawapeni vitu vya Greater flamingos ,Alkaline lakes,Algae na Diatoms.Stay tuned brothers and sisters!!!!November 12 at 4:48pm ·
I thank you guys for your encouraging contribution and I believe this is a wonderful forum for us to discuss amazing natural phenomena!
See you in the next Topic of KITANDA HAKIZAI HARAMU!!!
Izoba's Tough Times!
Out of curiosity I posted this photo with the caption that goes like:
"For those Who think Tour Guiding is about eating sausages!"
It drew amazing reactions from my graduates who were surprised as to how tough times I passed in order to get the current ripe status!
I thought I could save these congratulations and contribution in this Blog!
Anthony Milinga
Teacher!! Kweli tumetoka mbali sana na juhudi ndo mwokozi na mtastuzi wa shida zetu..
Nimeipenda sana hiyo picha yako hapo,inaonyesha ni jinsi gani ulivyona nia na nguvu kwenye Tourism field!
yaan teacher kama siamin vile.
Sorry, guys... I can't find the other contributions!!!!
No comments:
Post a Comment